Msaada kuhusu jamii forum

minzakunza

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
182
Reaction score
412
Nawasalimu wote
Tafadhali naombeni msaada au ufafanuzi, leo tangu asubui jamii forum imegoma kufunguka kwangu
Nimehangaika sana kuzima simu na kuwasha, ku unstall app na ku install upya jaribu kila kitu ikashindikana. Mida hii nikapata wazo la kutumia vpn naona imefunguka ni nini kinaendelea, ni kwangu tu au kuna mtu mwingine kapata shida hii.
 
Kinacho endelea ni Israel iko under Hammas attack 😏
 
VPN, VPN, VPN, VPN, ..... blablabla... kwahiyo ukisema VPN ndo utaonekana mshua au? Kwanza elezea VPN ndo nini? Virtual Private Network ndo nini?
 
tatizo limewakumba viongozi wote wa Hamas,
operation yenu ya Al-Aqsa flood ni kinyume na sheria za kivita za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…