Kinondoni muembe jini kwa dokta seif
Shukrani Mkuu.
Mim Sio Mwenyeji Wa Dar Nakuja Tu Kikazi Siku Mbili Tatu Naondoka. Naomba Info Za Kufika Hapo Hsptl
Mkuu maeneo gani unayajua hapa dar? Tutaanzia hapo, utafika tu
Nikija Dar Nafikia Mbagala Na Kariakoo Kdogo
Ukifika kariakoo unaweza fanya hivi, chukua ata taxi mwambie akupeleke makaburi alipozikwa Kanumba (kinondoni makaburini). Hiyo hospitali iko opposite na hayo makaburi, kama ni kupanda daladala chukua linaloenda Mwananyamala utashuka kituo Muembe jini, unavuka barabara, umefika
Za Muda Wakuu
Mwezi Mmoja Uliopita Nilipata Ajali, Katika Hiyo Ajali Nilivunjika Jino La Mbele Juu Limebaki Kipande Kidogo.
Nataka Nikakitoe Hicho Kipande Kilichobakia
Niweke Jino La Bandia.
Kabla Sijalitoa Nataka Kufahamu Yafuatayo.
Je Wakati Nakula Nitakuwa Nalitoa Hilo Jino La Bandia Au Vip?
Hospitali Ipi Nzuri Ninaweza Kupata Hiyo Huduma Kwa Hapa Dar.
Natanguliza Shukrani Kwa Wote