Za Muda Wakuu
Mwezi Mmoja Uliopita Nilipata Ajali, Katika Hiyo Ajali Nilivunjika Jino La Mbele Juu Limebaki Kipande Kidogo sana.
Nataka Nikakitoe Hicho Kipande Kilichobakia
Niweke Jino La Bandia.
Kabla Sijalitoa Nataka Kufahamu Yafuatayo.
Je Wakati Nakula Nitakuwa Nalitoa Hilo Jino La Bandia Au Vip?
Hospitali Ipi Nzuri Ninaweza Kupata Hiyo Huduma Kwa Hapa Dar.
Natanguliza Shukrani Kwa Wote mtakaonisaidia