Msaada kuhusu jkt ukiwa na elimu ya cheti cha fani yotote

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
Habari Zenu wadau Naomba msaada Je unaweza pata Nafasi ya JKT ukiwa na Elimu ya cheti chochote kwa Mfano Sheria au ,IT kwa sababu kuna mapumziko ya Miezi 4 kabla ya kujiunga na Diploma na je baada ya kumaliza mafunzo ya JKT wanaweza kukuruhusu kwenda kuendelea na Masomo.Na Je kuna Umuhimu wowote wa Kujiunga na mafunzo hayo ya JKT Asanteni Sana
 
Utaingia ila hiko cheti hakichukuliwi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, na kama utaingia kitakachokubeba ni cheti cha form 4 na sio hiko cheti cha sheria afu jeshi lina mlolongo mkubwa hivyo ni vyema ukasoma kwanza maliza hiyo dip ndio ujiinge

Unaingia jkt miezi 6 hadi umalize, ukitoka hapo unakaa kama miezi miwili hivi afu ndio ukapige depo la jwtz nayo ni miezi kama 5 hivi hadi umalize baada hapo ndio upangiwe kituo na kumbuka hauwezi ripoti tu afi ukapewa ruhusa ukasome tena kumbuka ukiajiliwa baada ya kureport unakaa miaka kama 4 hivi ndio unapewa uhuru wa kukaa nje ya kambi
 

Duuuu kumbe safari ndefu hivyo Asa hawa wa form Six inakuwaje Mdau
 
Hawa wanaenda kwa mujibu jkt sio ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…