Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Habari Zenu wadau Naomba msaada Je unaweza pata Nafasi ya JKT ukiwa na Elimu ya cheti chochote kwa Mfano Sheria au ,IT kwa sababu kuna mapumziko ya Miezi 4 kabla ya kujiunga na Diploma na je baada ya kumaliza mafunzo ya JKT wanaweza kukuruhusu kwenda kuendelea na Masomo.Na Je kuna Umuhimu wowote wa Kujiunga na mafunzo hayo ya JKT Asanteni Sana