Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?
Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.
Msaada tafadhali.
Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.
Msaada tafadhali.