Msaada kuhusu JKT

Msaada kuhusu JKT

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?

Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.

Msaada tafadhali.
 
Sababu ni kujitolea hawatamrudisha.ila ingekuwa ajira ingekuwa shida.

Mwache aende ila wakati unafanya npango kimfikie.
 
Watamrudisha tena haingii hata getini na mbona amewahisana kwani kapangiwa kikosi gani
 
Nani aliekuambia kuwa wakujitolea ndo huwa wanaenda bila vyeti? Lile ni jeshi mkuu na sio dangulo
 
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?

Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.

Msaada tafadhali.

Mujibu wa sheria wanaanza kuondoka Tarehe 8 mwez huu.. huyo mjomba wako vipi mbona kawahi sana?
 
Watamrudisha tena haingii hata getini na mbona amewahisana kwani kapangiwa kikosi gani
Nimeandika amepangiwa Bulombora - Kigoma.Are you serious mzee? Naomba experience maana wanaanza kuriport tarehe 8 mwezi huu.
 
Huyu ndio mhusika kala ada anakuja hapa kusumbua watu shule kamaliza leaving certificate usahau shule si maajabu haya?
 
abebe tu leaving cert na kitambulisho cha shule.... kama birth cert ipo mbali aachane nayo tu ila ajue kujieleza kuwa cheti kipo mbali na anakoishi,asiwe muoga hakuna wa kumfukaza wala kumpa adhabu huko.
 
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?

Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.

Msaada tafadhali.
Hawa jamaa hawana utani wakisema wamesema
wanaweza wakambakisha baada ya mafunzo
 
abebe tu leaving cert na kitambulisho cha shule.... kama birth cert ipo mbali aachane nayo tu ila ajue kujieleza kuwa cheti kipo mbali na anakoishi,asiwe muoga hakuna wa kumfukaza wala kumpa adhabu huko.
Birth cert anayo, Leaving ya six ndo hana.
 
Back
Top Bottom