Nani aliekuambia kuwa wakujitolea ndo huwa wanaenda bila vyeti? Lile ni jeshi mkuu na sio danguloSababu ni kujitolea hawatamrudisha.ila ingekuwa ajira ingekuwa shida.
Mwache aende ila wakati unafanya npango kimfikie.
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?
Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.
Msaada tafadhali.
Wewe wasema.afuate nilichomwambia.akiacha ni uoga wake.Nani aliekuambia kuwa wakujitolea ndo huwa wanaenda bila vyeti? Lile ni jeshi mkuu na sio dangulo
Nimeandika amepangiwa Bulombora - Kigoma.Are you serious mzee? Naomba experience maana wanaanza kuriport tarehe 8 mwezi huu.Watamrudisha tena haingii hata getini na mbona amewahisana kwani kapangiwa kikosi gani
Aliondoka shule yuko nyumbani Karagwe.Mujibu wa sheria wanaanza kuondoka Tarehe 8 mwez huu.. huyo mjomba wako vipi mbona kawahi sana?
Hawa jamaa hawana utani wakisema wamesemaKwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha?
Nataka nijue strictness ya huko maana yuko Karagwe, kasoma Chalinze na kapangiwa Bulombora - Kigoma.
Msaada tafadhali.
Birth cert anayo, Leaving ya six ndo hana.abebe tu leaving cert na kitambulisho cha shule.... kama birth cert ipo mbali aachane nayo tu ila ajue kujieleza kuwa cheti kipo mbali na anakoishi,asiwe muoga hakuna wa kumfukaza wala kumpa adhabu huko.