Victor Chilambo
Senior Member
- Jan 31, 2019
- 122
- 62
Nilikua nasumbuliwa na tumbo ambalo nilidhani ni tumbo la kawaida, kwani lilikua limewai kuniuma mara kadhaa apo nyuma sana .
Kwa kipindi hiki likaja na maumivu makali zaidi ambayo hua naya sikia upande wa kulia maeneo ya tumboo.nilikwenda hospital ilioko mwanza itwayo butimba ndipo baada ya kukutana na daktarii nikaambiwa kupima kwa kutumia ultrasound na matokeo yakaja kwamba nina right kidney renal cyst nikapewa dawa na kuambiwa nirudi baada ya muda furani kuangalia kama kuna mabaliko but tulikuta hakuna kilicho badilika nikapewa tiba nyengine nayo haikufanya kazi so nilikua naomba kupata msaada kua ugonjwa huu unatibikaa au??