tnicasissamo
Member
- Aug 26, 2015
- 6
- 1
Exactly,that is exactly i was about to say,wengi wanachanganya huo mstari faint wa chini ambao ukiwa faint ni dalili ya mimba,kwa maelezo yake its obviously ana mimba,ila ni vyema aende hata kwenye dispensary kupima tena kupata uhakika.Weka picha.
Ila kama mimba bado ndogo sana mstari wa pili huwa faint
siku 14.Ivi inachukua mda gani Mimba kuonekana kwenye kipimo?
Hapo inaonesha tayari unayo.Ni mwez 1 sijana.