Msaada kuhusu kipimo cha ujauzito

Msaada kuhusu kipimo cha ujauzito

tnicasissamo

Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Msaada jamani nimenunua kipimo cha mimba nakujipima majibu yapo hivi:

Umetokea mstari mmoja kwa juu ila tu hili eneo lililobaki yani limevilia rangi kama nyekundu.
Je ina maana gani?
 
ikitokea miwili ujue tayari
Lakini jiulize unapima baada ya muda gani ku do?
Kama ni wiki tu haitaonekana
 
sasa si ungeuliza hapo pharmacy, uliona aibu gani
 
Kanunue upime tena. Uwe kama unajiona umefanya sex siku ya hatari meza vidonge viitwavyo morning after pillz au plan b, kumbuka kuzuia mimba ni bora kuliko kuitoa.
 
Weka picha.

Ila kama mimba bado ndogo sana mstari wa pili huwa faint
Exactly,that is exactly i was about to say,wengi wanachanganya huo mstari faint wa chini ambao ukiwa faint ni dalili ya mimba,kwa maelezo yake its obviously ana mimba,ila ni vyema aende hata kwenye dispensary kupima tena kupata uhakika.
 
Ivi inachukua mda gani Mimba kuonekana kwenye kipimo?
 
Ni mwez 1 sijana.
Hapo inaonesha tayari unayo.
Mmoja unaweza kuwa rangi imekolea na mwigine rangi kwa mbaaali.
As long mistari yote ipo hapo tayari unayo.

Na pia inategemea ni kipimo gani umetumia maana viko tofauti .
 
Back
Top Bottom