Nitakujibu moja ambalo nalijua, Hakuna madhara yoyote kitaalamu ya kitovu cha mtoto kikidondokea kwenye nonino yake, hizi ni imani potofu tu kama vile za kuwa kitovu cha mtoto ukakizike, au ukakitupe baharini ili kuondoa laana na imani nyingine nyingi potofu juu ya kitovu cha mtoto mchanga.