Msaada kuhusu kitovu

Msaada kuhusu kitovu

Cherrylicious

Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
37
Reaction score
2
Naomba msaada wana jamvi, kuna hii imani ya kuwa mtoto akidondokewa na kitovu kinapokatika, ya kuwa kachululuu kanakuwa hakana kazi?je kuna ukweli ndani yake? na mtoto anatakiwa kuanza kusimamisha mashine akiwa na umri gani? je ni lazima mashine isimame asubuhi?
 
Nitakujibu moja ambalo nalijua, Hakuna madhara yoyote kitaalamu ya kitovu cha mtoto kikidondokea kwenye nonino yake, hizi ni imani potofu tu kama vile za kuwa kitovu cha mtoto ukakizike, au ukakitupe baharini ili kuondoa laana na imani nyingine nyingi potofu juu ya kitovu cha mtoto mchanga.
 
Back
Top Bottom