Msaada: Kuhusu Kodi za Kuimport Magari

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Wakuu naomba mnijuze kuhusu kodi za kuimport magari na kiasi chake,kwa gari ya 1500cc 2004

Ninachojua mimi ipo ile ya TRA (3M approx kwa gari hiyo)

Je kodi nyingine ni zipi na approximately price yake!

Natanguliza shukrani kwenu
 
Kila gari ina kodi yake hata kama CC na mwaka zinafanana! !
 
Cheki calculator kwenye website ya tra navyofaham minimum ni m3 ila yako inaweza kua zaidi ya hyo m3
 
Shida ni kuwa agent ananiambia niwe na 4.2M ndo maana nahitaji ufafanuzi, kwa mfano shiping line ni kiasi gani, port charges, registration zote ni kiasi gani kila moja! kuhusu hiyo ya TRA haina shida
 
Shida ni kuwa agent ananiambia niwe na 4.2M ndo maana nahitaji ufafanuzi, kwa mfano shiping line ni kiasi gani, port charges, registration zote ni kiasi gani kila moja! kuhusu hiyo ya TRA haina shida
Kaka maagent ndio wanafanya kazi ya kuagiza mizigo na kuingiza nchini iwe ngumu...atakwambia hiyo bei na atakuja na risiti kabisa kumbe uongo mtupu..nimeagiza raum ya 2004 ...3.6ml ilitosha kwa kila kitu mpaka kuliweka barabarani shipping charges ni $100 kulingana na CBM ya raum,lakini agents husipokuwa makini ataipeleka juu sana
 
Mkuu nisaidie basi kuainisha hizo gharama, angalau nipate pa kuanzia! hebu niambie zilizobaki ni kiasi gani kila moja?
 
Mkuu nisaidie basi kuainisha hizo gharama, angalau nipate pa kuanzia! hebu niambie zilizobaki ni kiasi gani kila moja?
Mkuu mbona 4.2 na 3.6 tofauti ni ndogo sana? Kama vipi we mpatie tu hiyo pesa, sasa unataka akale wapi bana?
 
Mkuu mbona 4.2 na 3.6 tofauti ni ndogo sana? Kama vipi we mpatie tu hiyo pesa, sasa unataka akale wapi bana?

tofauti sio ndogo, ukiweka mainsurance na maintanace kidogo! means you are talking of 1.3M more from 3.6
 
Shida ni kuwa agent ananiambia niwe na 4.2M ndo maana nahitaji ufafanuzi, kwa mfano shiping line ni kiasi gani, port charges, registration zote ni kiasi gani kila moja! kuhusu hiyo ya TRA haina shida
Wewe unahangaika bure tu kujua gharama na vitu vipo wazi.

Nenda kwenye website unaponunua gari, gharama zimeainishwa pale wazi wazi..... Na utaona CiF ambayo ndio amount utamlipa importer wako. Ma agent wapo wengi sana wacheki watakupa muongozo namna ya kulipa.... Me nakupendekezea Be forward wanaofisi posta na kariakoo.

Then chukua details za gari yako nenda kwenye website ya TRA kisha jaza details za gari unayoagiza itakupa kodi in total.

Utachukua gharama ya kodi kutoka tra na gharama ya kuagiza gari utapata total utayolipia gari itapofika hapa. Then utaplus na maswala ya agent na zile port charges ambazo ni kidogo sana.

So nenda kacheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…