Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba mnijuze kuhusu kodi za kuimport magari na kiasi chake,kwa gari ya 1500cc 2004
Ninachojua mimi ipo ile ya TRA (3M approx kwa gari hiyo)
Je kodi nyingine ni zipi na approximately price yake!
Natanguliza shukrani kwenu
Cheki calculator kwenye website ya tra navyofaham minimum ni m3 ila yako inaweza kua zaidi ya hyo m3
Kaka maagent ndio wanafanya kazi ya kuagiza mizigo na kuingiza nchini iwe ngumu...atakwambia hiyo bei na atakuja na risiti kabisa kumbe uongo mtupu..nimeagiza raum ya 2004 ...3.6ml ilitosha kwa kila kitu mpaka kuliweka barabarani shipping charges ni $100 kulingana na CBM ya raum,lakini agents husipokuwa makini ataipeleka juu sanaShida ni kuwa agent ananiambia niwe na 4.2M ndo maana nahitaji ufafanuzi, kwa mfano shiping line ni kiasi gani, port charges, registration zote ni kiasi gani kila moja! kuhusu hiyo ya TRA haina shida
Kaka maagent ndio wanafanya kazi ya kuagiza mizigo na kuingiza nchini iwe ngumu...atakwambia hiyo bei na atakuja na risiti kabisa kumbe uongo mtupu..nimeagiza raum ya 2004 ...3.6ml ilitosha kwa kila kitu mpaka kuliweka barabarani shipping charges ni $100 kulingana na CBM ya raum,lakini agents husipokuwa makini ataipeleka juu sana
Mkuu mbona 4.2 na 3.6 tofauti ni ndogo sana? Kama vipi we mpatie tu hiyo pesa, sasa unataka akale wapi bana?Mkuu nisaidie basi kuainisha hizo gharama, angalau nipate pa kuanzia! hebu niambie zilizobaki ni kiasi gani kila moja?
Wewe unahangaika bure tu kujua gharama na vitu vipo wazi.Shida ni kuwa agent ananiambia niwe na 4.2M ndo maana nahitaji ufafanuzi, kwa mfano shiping line ni kiasi gani, port charges, registration zote ni kiasi gani kila moja! kuhusu hiyo ya TRA haina shida