Saidy Januzaj
Member
- Apr 13, 2014
- 69
- 10
Yeyote yule elimu ya bongo haiangalii mambo hayo siku hizi,hii inaitwa BRN hata mtu wa HGK anaweza akawa doctor mkuu!...
Yeyote yule elimu ya bongo haiangalii mambo hayo siku hizi,hii inaitwa BRN hata mtu wa HGK anaweza akawa doctor mkuu!...
aaah mkuu vp...kiuhalisia inakuaje tukiachana na mambo ya kibongo
aaah mkuu vp...kiuhalisia inakuaje tukiachana na mambo ya kibongo
Mm nimesoma hyo,ila chuo nikafanya env engineer geography ya advance nilifaulu vzr na math frm 4 nilipiga fresh ndo hvyo vilinipa kigezo cha kufanya env engineer ,so now environmentalist in engineering way.