Saidy Januzaj
Member
- Apr 13, 2014
- 69
- 10
Wajuzi naombeni mnijuze hivi kuna posibility ya kua nani ukisoma hii kombi?
Yani kama vile ukisoma PCB kuna posibility yakua doctor
Yani kama vile ukisoma PCB kuna posibility yakua doctor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote yule elimu ya bongo haiangalii mambo hayo siku hizi,hii inaitwa BRN hata mtu wa HGK anaweza akawa doctor mkuu!...
Yeyote yule elimu ya bongo haiangalii mambo hayo siku hizi,hii inaitwa BRN hata mtu wa HGK anaweza akawa doctor mkuu!...
aaah mkuu vp...kiuhalisia inakuaje tukiachana na mambo ya kibongo
aaah mkuu vp...kiuhalisia inakuaje tukiachana na mambo ya kibongo
Mm nimesoma hyo,ila chuo nikafanya env engineer geography ya advance nilifaulu vzr na math frm 4 nilipiga fresh ndo hvyo vilinipa kigezo cha kufanya env engineer ,so now environmentalist in engineering way.