kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 214
- 147
Kwani wewe kwa Fikira zako Uuem upi unaye weza kumpa Mwanamke Uja uzito? Mkuu kolongotitu Wewe ulimjuaje kama anao uume Mwembamba na koodani ndogo? Ulimchungulia? Samahani kama nimekukwaza ninakuuliza hilo swali unijibu tafadhali.madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote
Huyo Jamaa wewe ni mke wake?
king kong hujadendea haki kwa maneno aliyoyaandika
nimekuellewa kwa ufafauzi mzuri kingKi vp mkuu? Nimeuliza kwa sababu mambo uliyoyasema si rahisi kujua kwa mfano kumwaga,uume mwembamba with reference to?(Wanawake ndio wanaona design za madushe kutokana na nature yao,m/me unaona yako tu,si rahisi m/me mwenzako akuonyeshe dushe no homo),ila kwa kifupi kinachosababisha mimba ni sperm zikutane na yai la m/ke,size ya uume na kumtia m/ke mimba havina uhusiano,koradani ndogo ni maumbile tu ni sawa na mtu kuwa na kichwa kidogo au pua kubwa haimaanishi kwamba hana ubongo kichwani au ana makamasi mengi.
nimekuellewa kwa ufafauzi mzuri king
sio lazima uume usimame kila asubuhi. suala la yeye kujua kuwa atazaa au la...? hapo ni suala la yeye kuoa kisha aangalie hapo, umri wa 26 ni mkubwa na tosha kuoa....
eti kaka kabanga ni kwanini chululu inasimamaga ASUBUHI??
Inasearch network!
huwa inataka nini
masai dada sina jibu hasa la kitaalamu ila ni hali ya kibaologia ....eti kaka kabanga ni kwanini chululu inasimamaga ASUBUHI??
masai dada sina jibu hasa la kitaalamu ila ni hali ya kibaologia ....
Inataka tundu
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote