msaada kuhusu korodani na uume

msaada kuhusu korodani na uume

kolongotitu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
214
Reaction score
147
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote
 
sio lazima uume usimame kila asubuhi. suala la yeye kujua kuwa atazaa au la...? hapo ni suala la yeye kuoa kisha aangalie hapo, umri wa 26 ni mkubwa na tosha kuoa....
 
Kwani wewe kwa Fikira zako Uuem upi unaye weza kumpa Mwanamke Uja uzito? Mkuu kolongotitu Wewe ulimjuaje kama anao uume Mwembamba na koodani ndogo? Ulimchungulia? Samahani kama nimekukwaza ninakuuliza hilo swali unijibu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
mkuu alinieleza tu tatizo lake na mimi nkaamua kuwauliza wataalamu wa hamu ndani pia pia sina utaalamu wa uume wa aina gani unaoweza kumpa mwananke ujauzito ndo maan nkauuliza mkuuu@mzizi mkavu
 
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote

Huyo Jamaa wewe ni mke wake?
 
Kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke hakuna mahusiano na ukubwa/udogo wa uume bali mbegu/shahawa zilizo na nguvu!
 
king kong hujadendea haki kwa maneno aliyoyaandika

Ki vp mkuu? Nimeuliza kwa sababu mambo uliyoyasema si rahisi kujua kwa mfano kumwaga,uume mwembamba with reference to?(Wanawake ndio wanaona design za madushe kutokana na nature yao,m/me unaona yako tu,si rahisi m/me mwenzako akuonyeshe dushe no homo),ila kwa kifupi kinachosababisha mimba ni sperm zikutane na yai la m/ke,size ya uume na kumtia m/ke mimba havina uhusiano,koradani ndogo ni maumbile tu ni sawa na mtu kuwa na kichwa kidogo au pua kubwa haimaanishi kwamba hana ubongo kichwani au ana makamasi mengi.
 
nimekuellewa kwa ufafauzi mzuri king
 
sio lazima uume usimame kila asubuhi. suala la yeye kujua kuwa atazaa au la...? hapo ni suala la yeye kuoa kisha aangalie hapo, umri wa 26 ni mkubwa na tosha kuoa....

eti kaka kabanga ni kwanini chululu inasimamaga ASUBUHI??
 
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo wa kumpa ujauzito mwanamke?
pia wakati wa asubuhi huwa uume wake hausimami mara zote

Sema ka ni wewe ndo mwenye tatizo,vinginevyo umejuaje? au alikua anakufanya nini?
 
Back
Top Bottom