Msaada kuhusu kozi hii ya accountancy with it

Msaada kuhusu kozi hii ya accountancy with it

Joined
Jan 8, 2023
Posts
11
Reaction score
13
Habarini wanajamiiforum,, nilikuwa naomba msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu kuhusu upatikanaji wake wa ajira na soko lake hata kwa kujiajiri binafsi na mambo kadha wa kadha kuhusu hiyo kozi,,napenda kuifahamu zaid asanteni[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).

Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo, nakiheshimu sana hiki chakula.😅

Kwenye issue ya malazi/accomodation/makazi hiki ndo kipengele maridhawa..!😁

Yakupasa upate chumba cha kuishi ambacho kimetulia na hakina mambo mengi na kipo mazingira ambayo hayata disturb mambo yako ya msingi.

Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Duh! Asa sijui unanishaurije aisee! [emoji848][emoji848][emoji848]Au nisiendege chuo tu i mean kuisoma?? Maana imetokea kuipata hiyo kutokana na matokeo yangu
Nenda kasome, ELIMU NI NGAO.

Unajua ngao ni msaada ikiwa unajua kuitumia vizuri lakini hii haikuhakikishii kushinda pambano au kutokudhulika.
 
Back
Top Bottom