sodium pentathol
Member
- Jan 8, 2023
- 11
- 13
Habarini wanajamiiforum,, nilikuwa naomba msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu kuhusu upatikanaji wake wa ajira na soko lake hata kwa kujiajiri binafsi na mambo kadha wa kadha kuhusu hiyo kozi,,napenda kuifahamu zaid asanteni[emoji120][emoji120][emoji120]