sodium pentathol
Member
- Jan 8, 2023
- 11
- 13
Pote patupu kivipi? [emoji848][emoji848]Pote patupu, Ikishindikana kabisa soma ualimu tu.
Nieleweshe zaidi ndo nini hiyo??
Hakuna course hapo, nenda tu ukazugezuge hiyo miaka mitatu wenda Jah akabless.Pote patupu kivipi? [emoji848][emoji848]
ππππ ivi hata kama unampa ushaur mtu ndo ivi jmn mbona una mkatili snHakuna course hapo, nenda tu ukazugezuge hiyo miaka mitatu wenda Jah akabless.
Duh! Asa sijui unanishaurije aisee! [emoji848][emoji848][emoji848]Au nisiendege chuo tu i mean kuisoma?? Maana imetokea kuipata hiyo kutokana na matokeo yanguHakuna course hapo, nenda tu ukazugezuge hiyo miaka mitatu wenda Jah akabless.
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwaπ).Habarini wanajamiiforum,, nilikuwa naomba msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu kuhusu upatikanaji wake wa ajira na soko lake hata kwa kujiajiri binafsi na mambo kadha wa kadha kuhusu hiyo kozi,,napenda kuifahamu zaid asanteni[emoji120][emoji120][emoji120]
Nenda kasome, ELIMU NI NGAO.Duh! Asa sijui unanishaurije aisee! [emoji848][emoji848][emoji848]Au nisiendege chuo tu i mean kuisoma?? Maana imetokea kuipata hiyo kutokana na matokeo yangu
Ukweli kama huu machizi tunausemaga wachacheπΆππππ ivi hata kama unampa ushaur mtu ndo ivi jmn mbona una mkatili sn