Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Huwez soma hii kozi huku umemaliza kidato cha nne! Unajua hii ni Diplomaa? Mpaka umalize six tena uwe umesoma Pcb au labda Cbg .kwa form 4 ilikuwa zamani sana.
Huwez soma hii kozi huku umemaliza kidato cha nne! Unajua hii ni Diplomaa? Mpaka umalize six tena uwe umesoma Pcb au labda Cbg .kwa form 4 ilikuwa zamani sana.
huyu haitwi daktari msaidizi bali anaitwa Tabibu, kazi yake kubwa ni kutumbua majipu! Daktari Msaidizi ni Assistant Medical Officer (ana advanced diploma)
Jinsi ya kuwatambua clinical assistant: ukiona mtumishi wa afya anayependa sana kuitwa dokta kiasi kwamba ukimwita tofauti anakasirika sana hadi kukufokea, basi huyo ndiye! Wanapenda sana kuitwa Dr.utadhani wanasiasa....wauaji wakubwa!