Msaada kuhusu kozi ya daktari msaidizi (clinical assistant)

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
NATANGULIZA HESHIMA WAKUU WENZANGU:
Jmn hv hii koz utakapoisoma baada ya kuhitim kidato cha nne je baadae unaweza kujiendeleza?
Na baada ya hapo utakuwa na cheo gan?
Na je?
Mishahara yao ni mizuri?
 
Huwez soma hii kozi huku umemaliza kidato cha nne! Unajua hii ni Diplomaa? Mpaka umalize six tena uwe umesoma Pcb au labda Cbg .kwa form 4 ilikuwa zamani sana.
 
kwan huwezi kuanzia ngaz ya cheti ? Mbona kwenye form yao wameandika wanafunzi waliomaliza form 4 kozi wanazotakiwa kuomba na hiyo ipo!
 
Kwa form 4 unaweza soma cheti ila mpaka uje kusoma diploma lazima uwe na uzoefu wa kuanzia miaka 5 kazini
 
huyu haitwi daktari msaidizi bali anaitwa Tabibu, kazi yake kubwa ni kutumbua majipu! Daktari Msaidizi ni Assistant Medical Officer (ana advanced diploma)
Jinsi ya kuwatambua clinical assistant: ukiona mtumishi wa afya anayependa sana kuitwa dokta kiasi kwamba ukimwita tofauti anakasirika sana hadi kukufokea, basi huyo ndiye! Wanapenda sana kuitwa Dr.utadhani wanasiasa....wauaji wakubwa!
 
Huwez soma hii kozi huku umemaliza kidato cha nne! Unajua hii ni Diplomaa? Mpaka umalize six tena uwe umesoma Pcb au labda Cbg .kwa form 4 ilikuwa zamani sana.

Wapo hadi wa darasa la saba!
 
huyu haitwi daktari msaidizi bali anaitwa Tabibu, kazi yake kubwa ni kutumbua majipu! Daktari Msaidizi ni Assistant Medical Officer (ana advanced diploma)
Jinsi ya kuwatambua clinical assistant: ukiona mtumishi wa afya anayependa sana kuitwa dokta kiasi kwamba ukimwita tofauti anakasirika sana hadi kukufokea, basi huyo ndiye! Wanapenda sana kuitwa Dr.utadhani wanasiasa....wauaji wakubwa!

why iwe miaka 5 ?
 
Back
Top Bottom