Msaada kuhusu kozi ya kusoma

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Wakuu mdogo wangu kapata division 1 ya 9 (PCB). Kozi zipi anaweza eligible kuomba?
 
Hapo udaktari utakuwa poa ila fani gani ya udaktari wataalamu watamshauri ipasavyo
 
Daah demu wangu nae alikuwa PCB kazungurusha


Ila mtihani si walifanya mmoja wakuu ? It doesn't make sense..how ?
 
Daah demu wangu nae alikuwa PCB kazungurusha


Ila mtihani si walifanya mmoja wakuu ? It doesn't make sense..how ?
Naona dem wako unamtaja sana kwenye nyuzi kwamba kachora chini😂😂 polee mkuu kama wana uwezo wa kumsomesha akasome diploma ya radiology ni kozi nzur sana
 
Naona dem wako unamtaja sana kwenye nyuzi kwamba kachora chini[emoji23][emoji23] polee mkuu kama wana uwezo wa kumsomesha akasome diploma ya radiology ni kozi nzur sana
Mi Mwenyewe unga unga mwana namsomesha vipi

Hio kazi ya baba ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…