AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Kwanza Mzumbe hakuna Public Health. Pili jieleze vizuri postgraduate au undergraduate.
Ninavyoelewa mimi hapa Tanzania hakuna Bachelor of Public Health. Ila kuna MPH. Undegraduate kuna related programs kama vile Environmental Health Science. I stand to be corrected
hiyo kazi ina market sana isipokuwa inahitaji uwe na network yakutosha maana kati ya mambo yaliyo na tija tanzania ni afya hasa elimu kuhusu afya kuna mashirika meng sana yanahusu afya atakama unataka kujiajiri ni rahis isipokuwa uwe na focus tu