Msaada kuhusu kozi ya PUBLIC HEALTH.

Msaada kuhusu kozi ya PUBLIC HEALTH.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari Wakuu!
Naomba kwa anayejua juu ya hii kozi huwa inatolewa kwa degree kwa vyuo gani vingine hapa nchini mbali na Mzumbe university,

Pia kazi zake ni zipi baada ya mwamafunzi kumaliza,

Na vipi soko lake la ajira hapa nchini.

Natanguliza shukrani.
 
Kwanza Mzumbe hakuna Public Health. Pili jieleze vizuri postgraduate au undergraduate.
 
hiyo kazi ina market sana isipokuwa inahitaji uwe na network yakutosha maana kati ya mambo yaliyo na tija tanzania ni afya hasa elimu kuhusu afya kuna mashirika meng sana yanahusu afya atakama unataka kujiajiri ni rahis isipokuwa uwe na focus tu
 
Ninavyoelewa mimi hapa Tanzania hakuna Bachelor of Public Health. Ila kuna MPH. Undegraduate kuna related programs kama vile Environmental Health Science. I stand to be corrected
 
Ninavyoelewa mimi hapa Tanzania hakuna Bachelor of Public Health. Ila kuna MPH. Undegraduate kuna related programs kama vile Environmental Health Science. I stand to be corrected

Mkuu wangu hii kozi ipo kwa ngazi ya degree Mzumbe University accordingly to TCU book ya mwaka jana, lakini bado nataka kujua na vyuo gani vingine vinatoa degree kwa kozi hiyo.
 
hiyo kazi ina market sana isipokuwa inahitaji uwe na network yakutosha maana kati ya mambo yaliyo na tija tanzania ni afya hasa elimu kuhusu afya kuna mashirika meng sana yanahusu afya atakama unataka kujiajiri ni rahis isipokuwa uwe na focus tu

Ahsante kwa ushauri mkuu.
 
Back
Top Bottom