Hapo Kulipa Kuna mawili, umlipe supplier chemba bila kupitia Alibaba, au ulipie kupitia platform ya Alibaba.Habar wakuu
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na kubakisha step moja tu ya kulipia kama inavojieleza hapoView attachment 1211411
Sasa nahtaj msaada kwa aliewah ku order online hii kikuu, anijuze kama ndo wapigaji tu au ni uhakka maana wana mambo meng na mazur.
Ntashukur nkisaidiwa wakuu
Ni KIKUU mkuu naona inakuja kasi sana hiiHapo Kulipa Kuna mawili, umlipe supplier chemba bila kupitia Alibaba, au ulipie kupitia platform ya Alibaba.
Ili uwe safer zaidi tumia option iliyoko kwenye platform ya Alibaba. Angalau likitokea la kutokea unaweza kuambulia some of your money if not all.
Mmmhhhh,Ni KIKUU mkuu naona inakuja kasi sana hii
Ni KIKUU mkuu naona inakuja kasi sana hii
Ni salama mkuu, nimeagiza mara mbili na kupata mzigo.Hivi kuna usalama kuagiza mzigo kupitia Aliexpress?maana nilitaka kulipia kupitia western union lakini nilishindwa baada ya wakala yaani benki ya posta kushangaa kuwepo kwa akaunti namba ya kulipia.
Naomba msaada kwa wazoefu maana nilitaka kuagiza bidha huko
Usiingie kwenye Western Union uliyopewa na supplier, perhaps huko utakua unamtumia supplier direct then "utapigwa". Tumia MasterCard hata ya mpesa na lipia kwenye platform ya AliExpress. Hapo utakua saferHivi kuna usalama kuagiza mzigo kupitia Aliexpress?maana nilitaka kulipia kupitia western union lakini nilishindwa baada ya wakala yaani benki ya posta kushangaa kuwepo kwa akaunti namba ya kulipia.
Naomba msaada kwa wazoefu maana nilitaka kuagiza bidha huko
CC : Mwl.Rct. Mwl.RCTHabar wakuu
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na kubakisha step moja tu ya kulipia kama inavojieleza hapoView attachment 1211411
Sasa nahtaj msaada kwa aliewah ku order online hii kikuu, anijuze kama ndo wapigaji tu au ni uhakka maana wana mambo meng na mazur.
Ntashukur nkisaidiwa wakuu
Hawana shida agiza tu mimi nimeshaagiza sana kikuu ndani ya week 3 au mbili unapata mzigo wakoHabar wakuu
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na kubakisha step moja tu ya kulipia kama inavojieleza hapoView attachment 1211411
Sasa nahtaj msaada kwa aliewah ku order online hii kikuu, anijuze kama ndo wapigaji tu au ni uhakka maana wana mambo meng na mazur.
Ntashukur nkisaidiwa wakuu
ASANTE MKUUUsiingie kwenye Western Union uliyopewa na supplier, perhaps huko utakua unamtumia supplier direct then "utapigwa". Tumia MasterCard hata ya mpesa na lipia kwenye platform ya AliExpress. Hapo utakua safer
Hata sielew, sijui china
Hivi kuna usalama kuagiza mzigo kupitia Aliexpress?maana nilitaka kulipia kupitia western union lakini nilishindwa baada ya wakala yaani benki ya posta kushangaa kuwepo kwa akaunti namba ya kulipia.
Naomba msaada kwa wazoefu maana nilitaka kuagiza bidha huko
Aliexpress issue ya delivery inakuwaje?Ni salama mkuu, nimeagiza mara mbili na kupata mzigo.
Lipia kwa mastercard ya benki au ya m pesa tu. Mzigo usipofika unarudishiwa pesa au muuzaji anatakiwa kutuma mwingine.
Wanaleta hadi posta kwa kufuata anuani uliyoandika. Mzigo ukifika, posta watakupigia simu. Kama Aliexpress kampuni waliyotumia kusafirishia mzigo wana mfumo wa tracking basi unaweza kuwa unaufuatilia mzigo wako kwa kila hatua tangu unapakiliwa China hadi unafika posta yako.Aliexpress issue ya delivery inakuwaje?