Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,594
- 800
Habar wakuu
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na kubakisha step moja tu ya kulipia kama inavojieleza hapo
Sasa nahtaj msaada kwa aliewah ku order online hii kikuu, anijuze kama ndo wapigaji tu au ni uhakka maana wana mambo meng na mazur.
Ntashukur nkisaidiwa wakuu