Msaada kuhusu ku order online

Usiingie kwenye Western Union uliyopewa na supplier, perhaps huko utakua unamtumia supplier direct then "utapigwa". Tumia MasterCard hata ya mpesa na lipia kwenye platform ya AliExpress. Hapo utakua safer

Shark naomba msaada kuhusu Mpesa MasterCard nataka kufanya malipo ya Sponsored ads
 
Shark naomba msaada kuhusu Mpesa MasterCard nataka kufanya malipo ya Sponsored ads
Jinsi ya Kutengeneza M-Pesa MASTERCARD
  1. Ingia kwenye Menu ya M-Pesa kwa kubofya * 150 * 00#
  2. Kisha chagua namba (4) Lipa kwa M-Pesa
  3. Kisha Chagua namba (6) M-Pesa MASTERCARD
  4. Kisha Chagua namba (1) Tengeneza Kadi
Baada ya hapo utapata taarifa zako za muhimu za kadi yako kwa njia ya SMS, hakikisha unatunza namba zako za kadi pamoja na CVC kwani hivi ndivyo unaweza kuvitumia wakati wa kufanya manunuzi mtandaoni.
 
je hapo posta patakiwa na gharama za kulipia?
 
Asante sana mkuu Shark
 
je hapo posta patakiwa na gharama za kulipia?
Kuna bidhaa za Kulipa, na kuna bidhaa za kutolipa. Sijui hasa wanatumia categories gani ku classify. Sababu nilishawahi kuleta mzigo wa US$ 50 ukapita bure, then siku zingine mzigo wa US$ 35 nikalipia kodi.
 
blessed be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…