Msaada kuhusu ku order online

Msaada kuhusu ku order online

Usiingie kwenye Western Union uliyopewa na supplier, perhaps huko utakua unamtumia supplier direct then "utapigwa". Tumia MasterCard hata ya mpesa na lipia kwenye platform ya AliExpress. Hapo utakua safer

Shark naomba msaada kuhusu Mpesa MasterCard nataka kufanya malipo ya Sponsored ads
 
Jinsi ya Kutengeneza M-Pesa MASTERCARD
  1. Ingia kwenye Menu ya M-Pesa kwa kubofya * 150 * 00#
  2. Kisha chagua namba (4) Lipa kwa M-Pesa
  3. Kisha Chagua namba (6) M-Pesa MASTERCARD
  4. Kisha Chagua namba (1) Tengeneza Kadi
Baada ya hapo utapata taarifa zako za muhimu za kadi yako kwa njia ya SMS, hakikisha unatunza namba zako za kadi pamoja na CVC kwani hivi ndivyo unaweza kuvitumia wakati wa kufanya manunuzi mtandaoni.
 
Wanaleta hadi posta kwa kufuata anuani uliyoandika. Mzigo ukifika, posta watakupigia simu. Kama Aliexpress kampuni waliyotumia kusafirishia mzigo wana mfumo wa tracking basi unaweza kuwa unaufuatilia mzigo wako kwa kila hatua tangu unapakiliwa China hadi unafika posta yako.
je hapo posta patakiwa na gharama za kulipia?
 
Jinsi ya Kutengeneza M-Pesa MASTERCARD
  1. Ingia kwenye Menu ya M-Pesa kwa kubofya * 150 * 00#
  2. Kisha chagua namba (4) Lipa kwa M-Pesa
  3. Kisha Chagua namba (6) M-Pesa MASTERCARD
  4. Kisha Chagua namba (1) Tengeneza Kadi
Baada ya hapo utapata taarifa zako za muhimu za kadi yako kwa njia ya SMS, hakikisha unatunza namba zako za kadi pamoja na CVC kwani hivi ndivyo unaweza kuvitumia wakati wa kufanya manunuzi mtandaoni.

Asante sana mkuu Shark
 
je hapo posta patakiwa na gharama za kulipia?
Kuna bidhaa za Kulipa, na kuna bidhaa za kutolipa. Sijui hasa wanatumia categories gani ku classify. Sababu nilishawahi kuleta mzigo wa US$ 50 ukapita bure, then siku zingine mzigo wa US$ 35 nikalipia kodi.
 
blessed be!
 
Back
Top Bottom