Habari,
Niko busy sana na maisha, ila kuna mtoto wa dada anataka ku reseat NECTA mwaka 2025 kwakuwa hakufanya vizur mtihan wake sababu ikiwa ni kuumwa sana muda mfupi kuelekea mtihan.
Naomba kuuliza usajili kwajili ya necta unafanyika lini na taratibu zake kwa anaejua.
Asante