Msaada kuhusu ku-reseat NECTA IV

Msaada kuhusu ku-reseat NECTA IV

Mahunda Jr

Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
74
Reaction score
83
Habari,

Niko busy sana na maisha, ila kuna mtoto wa dada anataka ku reseat NECTA mwaka 2025 kwakuwa hakufanya vizur mtihan wake sababu ikiwa ni kuumwa sana muda mfupi kuelekea mtihan.

Naomba kuuliza usajili kwajili ya necta unafanyika lini na taratibu zake kwa anaejua.

Asante
 
Au hata necta penyewe.
Note. Kama atahitaji mtu/ watu wa kumsaidia kumpiga msasa uni pm nikuunganishe na walimu
Kama upo dar mkoani wataelewana
 
Back
Top Bottom