Msaada kuhusu kuacha kazi 24 hours notice

Sawa kabisa Dena! Baadhi ya hizi sheria huwa zinatoa latitude kwa waajiri kujiamulia kuweka vijisheria vyao. Na watu wengi huwa hawasomi hizo fine prints zilizoko kwenye mikataba (kama mtu alisaini mkataba). Hata kama hakuna mkataba bado watu wengi huwa hawasomi hata employee handbook(s).

Ila hii ya kuacha kazi bila notisi halafu uishie kumlipa mwajiri sijawahi kuisikia mimi. Too asinine, IMO.
 
Wewe kama ushaanza kupata PM kutoka kwa JF Moderator 1, jitayarishe tu kwa ban, na ya kwako itakuwa ya mwaka mzima 😀

Gaijin, hebu nisaidie tafadhali hapo kwenye hiyo sheria aliyobandika juu page zima, ni wapi paliposemwa uki quit kazi unamlipa mwajiri mshahara, matter of fact ni wapi hapo pameongelea notice ya mfanyakazi kwenda kwa mwajiri at all?

Hichi kifungu mbona kinazungumzia Mwajiri kumuachisha kazi muajiriwa na sio muajiriwa kuacha kazi! [Kisha ndo Moderator 1 kajitutumua hapa kuleta ushahidi]

Ikimaanisha kuwa Mwajiri lazima akupe notice ya kuwa atakuachisha kazi au akulipe ujira wako ambao ungeliupata kama ungefanya kazi kwa kipindi hicho alichotakiwa akupe notice [#5]

Na kama hutataka kufanya kazi ukiwa na hiyo notice, Mwajiri anaweza kukukata katika stahili zako alizotakiwa akupe ujira wa kufanya kazi katika kipindi cha notice [#6]

Bado sijaona upande wa Mwajiriwa kuacha kazi hapa
 
maelezo yako mazuri...

hapo kwenye red lazima sheria ihuu sana Dena vinginevyo mkataba utakuwa batili

BHT umeshawahi kwenda mahakama ya kazi??
Utashangaa mtu anaqoute mpaka sheria za kazi lakini
mwajiri anasema agreement yangu mimi na wewe ni
kama ulikuwa unajua sheria hii inasema hivi basi usingesaini
kusaini mkataba huu ina maana umekubaliana na masharti yangu na si vinginevyo

Sijakataa kuwa sheria hazipo sheria zipo sana tena ziko wazi
lakini utahangaika wewe na huo mshahara wa mwezi huku ukipoteza muda
 
Sheria inaset minimum standards so kutokana na sheria iliyobandikwa hapa inasema kama wewe unalipwa kwa mwezi basi inabidi utoe notice ya siku 28 minimum, sheria inasema unaweza kuongeza kipindi kwenye mkataba ila iwe kwa pande zote mbili. So kwa vile hana mkataba na kama analipwa kwa mwezi basi inabidi atoe notice ya siku 28.
 
Na vip kama ukiacha kazi wakati bado uko kwenye probation? meaning bado hujawa confirmed? hapo napo masharti na vigezo huzingatiwa au unasepa tu kisela?

Note; Wameniboa hapa job nataka kusepa sema bado nanegotiate terms mahali
 
What the fcuk? So there is no 'at-will' employment?
 
Kipengele 41 kinaongelea pande zote nadhani so pande zote mbili zinaweza kuterminate contract, kipengele cha 34 kinaongelea mwajiri peke yake.
 
Me like this post
 
Sasa huo mshahara unaotakiwa uurudishe utaupata wapi? Au ndio atakupeleka mahakamani?

* Tuchukulie umepewa mshahara tu siku ya pili ukasema kazi basi
 
Nachozungumzia hapa mimi ni terms and reference walizokubaliana. Kumbuka kuwa hana mkataba sasa hata mwajiri atamquote vipi??? Atoe notice ya nini kwa mkataba upi???
 
Sasa huo mshahara unaotakiwa uurudishe utaupata wapi? Au ndio atakupeleka mahakamani?

* Tuchukulie umepewa mshahara tu siku ya pili ukasema kazi basi

Naona hatulewani hapa mimi sijasema alipe mshahara ninachosema mimi wakati anaajiriwa walikubaliana vipi na mwajiri??

Na kumbuka hana mkataba si anaweza akaacha tu kwenda kazini akaendelea na shughuli zake
 
Kipengele 41 kinaongelea pande zote nadhani so pande zote mbili zinaweza kuterminate contract, kipengele cha 34 kinaongelea mwajiri peke yake.

Nini kilichokupelekea kudhani hivyo?

Kifungu tulichowekewa haionyeshi mwajiriwa achukue/achukuliwe hatu gani anapokatiza mkataba
 
Naona hatulewani hapa mimi sijasema alipe mshahara ninachosema mimi wakati anaajiriwa walikubaliana vipi na mwajiri??

Na kumbuka hana mkataba si anaweza akaacha tu kwenda kazini akaendelea na shughuli zake

Nataka kujifunza kwa kesi kwa ujumla wake na sio hii.

Kama mtu alikubali kwenye mkataba kuwa atalipa mshahara wa mwezi mmoja akikatiza mkataba bila ya notice, na akakatiza soon baada ya kupewa mshahara, hatua gani zitachukuliwa kwake?
 
Dena mkataba wowote unaokinzana na sheria basi ni batili, au sio??

na huko mahakama ya kazi kinachoangaliwa ni mkataba kati ya mwajiri na mwajiriwa ambao msingi wake umetoka kwenye sheria husika na si vinginevyo....

sasa huo uwazi wa sheria unaouzungumzia hapa na bado watu wanasainishwa mikataba isiyoendana na hizo sheria zilizo wazi, ni upi?
 
Na vip kama ukiacha kazi wakati bado uko kwenye probation? meaning bado hujawa confirmed? hapo napo masharti na vigezo huzingatiwa au unasepa tu kisela?

Note; Wameniboa hapa job nataka kusepa sema bado nanegotiate terms mahali

wee sepa tu kisela hapo...
 
Chezea HRA wewe mimi ndo natengeza nini kusoma

Hata juzi nimeajiri watu watatu NN nini bana wewe

Alaaaa kumbe!!

Haya bana :A S crown-2: lol

Ila sheria nyingi za kazi nizijuazo mimi ni huwa zinatoa uhuru kwa waajiri kujitungia sheria zao pia. Kwa hiyo, waajiri wengi hutumia huo mwanya pia ku-cover their you know what na mara nyingi hata kukitokea timbwili mtu utashindwa tu mahakani.

Fine prints ndo huwa mchawi!
 
Naona hatulewani hapa mimi sijasema alipe mshahara ninachosema mimi wakati anaajiriwa walikubaliana vipi na mwajiri??

Na kumbuka hana mkataba si anaweza akaacha tu kwenda kazini akaendelea na shughuli zake

sheria inasemaje kuhusu 'mwajiriwa'? (wakati gani mtu anatambulika kuwa ni mwajiriwa halali?)
 
Nataka kujifunza kwa kesi kwa ujumla wake na sio hii.

Kama mtu alikubali kwenye mkataba kuwa atalipa mshahara wa mwezi mmoja akikatiza mkataba bila ya notice, na akakatiza soon baada ya kupewa mshahara, hatua gani zitachukuliwa kwake?

Hapa unazungumzia mambo mengi.
Kwanza unapofanyakazi unakuwa na benefit nyingine zaidi ya mshahara mf. NSSF, Gratuity nk watakukamatia hapo sana kwenye NSSF na gratuity

Gaijin hapa kwa mfano unazungumzia mshahara unapewa cash au bank.
Mimi kuna mtu alitoa notice ya 24hrs na kumbe anasafiri usiku kwenda UK
Nilikwenda Bank nikablock ule mshahara usitoke na ukarudi ofisini unless unambie
umepata mshahara ukaenda ukatoa pesa yote ndo ukaja ukaacha kazi but
kumbuka ukiajiriwa unakuwa umetoa details zako zote so watakufatilia tu wakupate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…