Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wewe muuliza swali ngoja nikuulize........
Wakati ukisaini huo mkataba ulliusoma??? Na kama uliusoma ulisemaje??
tuanzie hapo ndo tuendelee................
Sabaabu kwa mfano mimi niliwahi kusaini mikataba mbalimbali
Mmoja ukasema ukitaka kuacha kazi toa notice ya miezi mitatu au ulipe mshahara wa mwezi mmoja
Na mwajiri akikufukuza kazi anakulipa mshahara wa mwezi mmoja na kama unaarreas za leave anakulipa
Mwingine ukasema mwajiri akikufukuza anakulipa mshahara wa mwezi mmoja
Na ukitaka kuacha kazi utoe notice ya mwezi mmoja ama ulipe mshahara wa mwezi mmoja.
Inategemea na vile mlivyokubaliana kama wewe ulisaini bila kusoma imekula kwako
Hapa sheria haihuu saana sababu yeye atabezi kwenye kile mlichosainishana unless otherwise.
Sawa kabisa Dena! Baadhi ya hizi sheria huwa zinatoa latitude kwa waajiri kujiamulia kuweka vijisheria vyao. Na watu wengi huwa hawasomi hizo fine prints zilizoko kwenye mikataba (kama mtu alisaini mkataba). Hata kama hakuna mkataba bado watu wengi huwa hawasomi hata employee handbook(s).
Ila hii ya kuacha kazi bila notisi halafu uishie kumlipa mwajiri sijawahi kuisikia mimi. Too asinine, IMO.