Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

Mkuu nimekucheki inbox,mbona kimya tuwasiliane!
 
Kama asali ya Tabora hawataki kuisikia hao wazungu wanadai nyuki wanatilia pollen ya maua ya tumbaku na eti ina nicotine sasa jiulize hayo matunda na mbogamboga jirani na mgodi wa dhahabu wa wachina.
Nitafute mkuu naweza kukushauri kitu!
 
Brother mbona kimya hunitafuti Tufanye biashara!.??
 
Mkuu umepotea wadau tunakusubiri huku
 
Naweza kujua unaexport NINI mkuuu,na he naweza kuunga nguvu?
 
Mkuu organic ndiyo aina gani hiyo? naomba msaada
 
Kama asali ya Tabora hawataki kuisikia hao wazungu wanadai nyuki wanatilia pollen ya maua ya tumbaku na eti ina nicotine sasa jiulize hayo matunda na mbogamboga jirani na mgodi wa dhahabu wa wachina.
Hahaha hawa jamaa wanatuzima kwa akili
 
Hi wanajamvi,

Nimekuja kwenu mimi ni kijana mtanashati sana katika maisha yatupasa kujifunza na kujua mengi kila inapoitwa Leo.

Nipo katika mchakato wa kutaka kufanya biashara ya matunda coz ni biashara inayonivutia sana kitu kinachonipa maswali mengi mpaka kuja kwenu hapa nini faida ya wafanyabiashara ya matunda ya reja reja?

Naombeni msaada wenu kuhusu hili tafadhali.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…