Nchi za nje zipi? Burundi au Kenya, Au Ulaya au Asia ai America?
Maswali.
Unalima kwa kiwango gani?
- Biashara yako ilo regsted?
- Unalima kilimo cha aina gani?
Kama hizo nchi za nje ni za Ulaya na Asia basi jua kwamba wanapendelea Organic, kama unalima kwa hizi chemical zetu na mbolea hizi usitarajie kuuza huko.
MWISHO
Je umejiandaa kushindana na wazalishaji wengine kutoka Dunia nzima? Kutaoka Latini America, Asia nchi mama Philipine, Nchi za Ulaya, Nchi kama Israeli, Nchi za Africa kama South Africa.
Mkuu ku export hasa vyakula sio swala dogo hata kidogo na mpaka mamulaka husika zikuruhusu basi ujue umefanya kaz sana, Pia bora kuuza soko la ndani kutafuta uzoefu, soko la nje ni very complicated.