GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Habari wakuu.
Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery inayochezeshwa kila mwaka.
Sasa ninaomba kufahamu vigezo na masharti pamoja na nyaraka zinazotakiwa ili ujaziwe hizo form na kupigwa picha, maana jamaa anadai kwamba hao watu unawalipa elfu 30 kwa familia na elfu 20 kwa mtu mmoja akadai hakuna nyaraka zozote zinazohitajika wala vigezo vya elimu.
Naomba aliyewahi kujaziwa hizo form na kupigwa picha anisaidie maelezo sahihi ili nifahamu.
Hiyo ofisi anasema ipo Mlimani city Dar es salaam.
Nitashukuru kwa ufafanuzi wakuu🙏🙏🙏