Majibu haya hapa yote mkuu, labda kuhusu elimu najua ni kuanzia fom6 na kuendelea au kma ni diploma basi iwe ile ya kueleweka ambayo umesoma sio chini ya miaka miwili na pia ujuzi wa hiyo fani yako pia nadhani isiwe chini ya miaka miwili.
Passport lazima kuna sehemu ya kujaza namba yako ya passport. Kama una mke na watoto kwao kwa sasa sio lazima akati unaomba. Ila ukibahatika kuendlea na uombaji wa visa huko mbele ndio itabidi uwatafutie na wao wawe nazo.
Zingatia kuhusu picha kama alivosema mdau hapo. Naww ujiandae mfukoni chochote kiwepo mana kule sio unapewa tu. Unaanza moja labda kama una mwenyeji huko wa kukupa ramani za nini cha kufanya.
Washauri wadau waombe hii fursa ni bure kuomba. Ila safari, garama za visa na wapi utakula na utaishi wapi ni juu yako. Mwnyji wako unaeza muomba huyo huyo ebm akusaidie ramani ikoje kule ingawa 'boksi' lazima upige tu kuanzia maisha kmaa utabatika ukifka kule. Hizi boksi ni kazi ambazo sio za kuhitaji sana elimu ukiwa huko maandishi matatu ukibahatika kupata hyo dv visa.
Kma bado jitahidi ufanye maombi kabla ya nov 5 nadhani ndio mwsho wa kuomba na majibu ni mbaka may 2025.
Kazi kwako mkuu