Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

Ebhana sikuona hiyo, nilijaza moja hata sikufatilia. Nimereview sahivi ndio naona option hyo haipo kweli mwaka huu. Unajua app yoyote ya kuedit picha mkuu unitajie? Blender


Upload picha uliopiga kwa simu au camera
Alafu kwenye vipimo weka height 1200 × weidh 1200 pixels

Kama picture ilikuwa na size eg 5mb , itaipunguza na kubaki 232 kbs,

232 kbs ndio size inayokubalika , ukiwa MB inakataa.
 
Screenshot_20241028-175848.png
 
Mkuu nimesoma, nataka kufahamu vigezo vya kufanya maombi.
1. passport inahitajika unapoomba?
Maana huyo EBM kaweka video kwenye youtube yake usipoteze muda kujaza form kama huna passport hata ukibahatika huwezi kupewa visa....sasa wanasema passport sio lazima ukibahatika ndio unatafuta passport imekaaje hii?
Si umeona hiyo fomu ya kujaza ? Kuna sehemu ya picha , na picha inayohitajika ni picha yenye background nyeupe na inapigwa kwa vipimo maalumu.


Kuhusu passport ni muhimu uwe nayo kwani ndio utambulisho wako , wewe apply kwanza ukikamilisha utatumiwa namba yako ya kufauatilia matokeo ,mwezi wa tano , baada ya kukamilisha application fanya mchakato wa kupata passport kubwa , ambayo utalipia 150

Vigezo vya kupata passport
-nida
- cheti cha kuzaliwa
-cheti cha kuzaliwa cha mzazi
-Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wako wa kijiji.
-kitambulisho cha kazi/ au leseni ya biashara/ TIN no ya biashara

-Ukiwa na hivyo vitu ukienda migration unalipia 150 baada ya wiki mbili unapata passport kubwa, inafanya kazi kwa mda wa miaka 10.
 
Okay 👍, ila form ya mwaka huu , haina option ya kujaza passport number.

Na ndio maana nime mpa muongozo mleta Uzi , aka check form kwenye account ya x ya ubalozi
Thanks fam kwa hii taarifa, ningeingiza watu chaka kwa kukariri😂😂

Its a SUCCESS!
 
Muamko ni mkubwa, nlkua kibo complex ndani mule janaa....watu kma wa5 naona wanapga pcha za USA😁😁😁na hyo ilkua mchana. Bado asbh na jamaa anasema wadau ni wengi tu wanaendaa palee
Thanks fam kwa hii taarifa, ningeingiza watu chaka kwa kukariri😂😂

Its a SUCCESS!
 
Oyaa ukipata ukifika Amerika unapewa nini na nini kwanza? Nyumba? Gari? Kazi? ama ndio unaanza from scratch?
 
Muamko ni mkubwa, nlkua kibo complex ndani mule janaa....watu kma wa5 naona wanapga pcha za USA😁😁😁na hyo ilkua mchana. Bado asbh na jamaa anasema wadau ni wengi tu wanaendaa palee
Nipo hapa kibo mkuu ni sehemu gani??
 
Nipo hapa kibo mkuu ni sehemu gani??
Kibo complex ukiingia usawa wa crdb benki nadhan nenda moja kwa moja unanyoosha kuna studio nadhan kama sio stationary inaitwa imageview hapo....waambie picha za USA wao wanajua....na pcha hyo ukiingza tu kwny phototool ya dv inakwambia kabisa imekubali vgezo haina haja ya cropping
 
Majibu haya hapa yote mkuu, labda kuhusu elimu najua ni kuanzia fom6 na kuendelea au kma ni diploma basi iwe ile ya kueleweka ambayo umesoma sio chini ya miaka miwili na pia ujuzi wa hiyo fani yako pia nadhani isiwe chini ya miaka miwili.

Passport lazima kuna sehemu ya kujaza namba yako ya passport. Kama una mke na watoto kwao kwa sasa sio lazima akati unaomba. Ila ukibahatika kuendlea na uombaji wa visa huko mbele ndio itabidi uwatafutie na wao wawe nazo.

Zingatia kuhusu picha kama alivosema mdau hapo. Naww ujiandae mfukoni chochote kiwepo mana kule sio unapewa tu. Unaanza moja labda kama una mwenyeji huko wa kukupa ramani za nini cha kufanya.

Washauri wadau waombe hii fursa ni bure kuomba. Ila safari, garama za visa na wapi utakula na utaishi wapi ni juu yako. Mwnyji wako unaeza muomba huyo huyo ebm akusaidie ramani ikoje kule ingawa 'boksi' lazima upige tu kuanzia maisha kmaa utabatika ukifka kule. Hizi boksi ni kazi ambazo sio za kuhitaji sana elimu ukiwa huko maandishi matatu ukibahatika kupata hyo dv visa.

Kma bado jitahidi ufanye maombi kabla ya nov 5 nadhani ndio mwsho wa kuomba na majibu ni mbaka may 2025.
Kazi kwako mkuu
Naona Passport ni lazima uwe nayo.
Hapo kwenye kipengele cha kuprepare suporting documents ipo ya kuattache photocopy ya biographic data page ya valid
20241030_211608.jpg
Passport. Kama inavyosema kwenye picha hii hapo chini
 
Naona Passport ni lazima uwe nayo.
Hapo kwenye kipengele cha kuprepare suporting documents ipo ya kuattache photocopy ya biographic data page ya valid View attachment 3139445Passport. Kama inavyosema kwenye picha hii hapo chini
VISA interview ni mbaka upate hiyo lottery kwanza. Lottery kuomba haina lazima uwe na passport kwanza. Ndicho tunachozungumza sisi hapo.

Bring your original passport plus one photocopy of the biographic data page to your visa interview at the U.S. Embassy or consulate.

Umeona hapo nimebold hayo maandishi??? Elewa hiyo vzuri mkuu
 
Back
Top Bottom