T Tony044 Member Joined May 29, 2024 Posts 32 Reaction score 43 May 31, 2024 #1 Habari za mda huu Wakuu, Naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri mfumo wa PPRA na jinsi ya kuomba Tenda , Nahitaji kujisajiri kama Electrical Contractor , Natanguliza Shukrani🙏
Habari za mda huu Wakuu, Naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri mfumo wa PPRA na jinsi ya kuomba Tenda , Nahitaji kujisajiri kama Electrical Contractor , Natanguliza Shukrani🙏