vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 865
Ndui hiyo bro walipata chanjo ya nduiHuu ugonjwa gani? tiba je?View attachment 981129View attachment 981130
Sent using Jamii Forums mobile app
usiogope mkuu nunua dawa inaitwa Iodine ipo kwenye kichupa kidogo.Huu ugonjwa gani? tiba je?View attachment 981129View attachment 981130
Sent using Jamii Forums mobile app
usiogope mkuu nunua dawa inaitwa Iodine ipo kwenye kichupa kidogo.
Tafuta wembe utumie kukwangua hapo then unapaka kuku wako,
Huo ugonjwa unaambukiza hivyo kama kuku wapo wengi wote watapata chukua tahadhari mapema
√inahitaji roho ngumu kiasi
Inapatikana kweny maduka ya kawaida au n maduka ya chanjo za kuku pekee??usiogope mkuu nunua dawa inaitwa Iodine ipo kwenye kichupa kidogo.
Tafuta wembe utumie kukwangua hapo then unapaka kuku wako,
Huo ugonjwa unaambukiza hivyo kama kuku wapo wengi wote watapata chukua tahadhari mapema
√inahitaji roho ngumu kiasi
kwenye maduka ya dawa za mifugo sijawahi kujaribu kwenye maduka ya dawa Muhimu japo naona kuna uwezekano wa kupataInapatikana kweny maduka ya kawaida au n maduka ya chanjo za kuku pekee??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu ahsante
Poa poa kaka..kwenye maduka ya dawa za mifugo sijawahi kujaribu kwenye maduka ya dawa Muhimu japo naona kuna uwezekano wa kupata