Msaada kuhusu kuku

Msaada kuhusu kuku

vampire123

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2016
Posts
1,310
Reaction score
865
Huu ugonjwa gani? tiba je?View attachment 981129
IMG_20181230_140857.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
usiogope mkuu nunua dawa inaitwa Iodine ipo kwenye kichupa kidogo.
Tafuta wembe utumie kukwangua hapo then unapaka kuku wako,
Huo ugonjwa unaambukiza hivyo kama kuku wapo wengi wote watapata chukua tahadhari mapema
√inahitaji roho ngumu kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usiogope mkuu nunua dawa inaitwa Iodine ipo kwenye kichupa kidogo.
Tafuta wembe utumie kukwangua hapo then unapaka kuku wako,
Huo ugonjwa unaambukiza hivyo kama kuku wapo wengi wote watapata chukua tahadhari mapema
√inahitaji roho ngumu kiasi
Inapatikana kweny maduka ya kawaida au n maduka ya chanjo za kuku pekee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom