Habarini wakuu, naomba mnijuze utaratibu wa kupata leseni ya kuendesha pikipiki tu ,pamoja na gharama zote jumla. NAWASILISHA
watakiwa kwenda chuo kusomea mkuu then unapata cheti watakuelekeza kwa kulipia utapata leseni yako ila ukitaka ya kuletewa pia utapata kwa mission town