Msaada kuhusu kupata leseni ya pikipiki

Msaada kuhusu kupata leseni ya pikipiki

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
567
Reaction score
115
Habarini wakuu, naomba mnijuze utaratibu wa kupata leseni ya kuendesha pikipiki tu ,pamoja na gharama zote jumla. NAWASILISHA
 
Mkuu nenda ofisi ya TRA ya eneo ulilopo utapata msaada zaidi...
 
Habarini wakuu, naomba mnijuze utaratibu wa kupata leseni ya kuendesha pikipiki tu ,pamoja na gharama zote jumla. NAWASILISHA

hujaeleweka wewe wataka driving licence itakayo kuruhusu kuendesha pikipiki au watafuta leseni ya pikipiki yake ikimaanisha uhalali wa pikipiki yako kuwa barabarani fafanua
 
Namaanisha leseni ya udereva wa pikipiki mkuu
 
watakiwa kwenda chuo kusomea mkuu then unapata cheti watakuelekeza kwa kulipia utapata leseni yako ila ukitaka ya kuletewa pia utapata kwa mission town
 
watakiwa kwenda chuo kusomea mkuu then unapata cheti watakuelekeza kwa kulipia utapata leseni yako ila ukitaka ya kuletewa pia utapata kwa mission town

du sikujua mkuu kumbe hadi kuomba leseni udereva wa pikipiki ni lazima uwaonyeshe cheti mafunzo ya udereva. huu sasa ni mziki mana wengine tumejullia kudrive kitaa tu
 
Back
Top Bottom