Msaada kuhusu kupoteza hamu ya tendo la ndoa wakati wa ujauzito

Usiwaze kawaida.
Mimba ya kwanza wife alinipa Papa mpaka najiona hakuna km mm. Full joto huko chini. Napenda sana pregnant woman coz ya joto chini.

Mimba ya mtoto wetu wa pili ....Nilijutraaa. Hamu Hana niliteseka. Sema sisi tulikaa chini nikawa namtongoza. Namuambia mtoto ndani aki absorb manii yangu anakua na afya tele plus njia nahitaji kuikuza kila mara ili asipigwe kisu. Hizi fix na nyingine na search gugo namuonesha yaani in short nilianza kumtongoza. Akawa mtoto wa watu ananipa Papa lkn I can tell Kwa kua nimem convince tu baasi wala hataki.

Tena Ile week ya mwisho umpe Papa mara nyingi (this is serious) ili kutengeza njia vizuri na other reasons.
Kabla ya kwenda hospital labour mpanulie atie vitu wanashauri saaaana tena.
All the best.
 
Kabla ya kuoa nilisema sitochepuka kamwe na nilikuwa nawashangaa sana walio kwenye ndoa wanachepuka. Nimeoa na mke wangu ni mjamzito na hana kabisa hamu, yaani nalala imesimama na kuamka hivo hivo, nilijaribu kushauriana na marafiki zangu waliokwenye ndoa ambao nilijua hawachepuki , wakanambia kuchepuka ni kitu cha kawaida. Nina mpango nichepuke ili nisimvuruge wife na mood zake za mimba.
I guess mumeo anachepuka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahaaa nimecheka Sana asee yaani hivi visirani cjui tunavitoa wapi[emoji119][emoji119]sema mtuvumiliege tu kwakweli hakuna namna
 
[emoji28][emoji28]sawa mkuu ntaanza kujaribu
 
Hahaaa Mimi wa kwangu hachepuki
 
Wataalamu wanasema ni mabadiliko ya Hormone either Hamu ya mapenzi ikaongezeka mara dufu, au ikaondoka maradufu...

Mimi wangu ananiomba na vile niko mbali nae muda wote nawaza natamani nimredishe kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa KIUME,na anahormone nying za kiume.kiufupi mtoto wako atakuwa kidume haswaaaa.


Hyo mimba,angekuwa wa kike,ungemsumbua htr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…