Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
Hongera, inadvance.[emoji28][emoji28]kila mtu ananiambia hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, inadvance.[emoji28][emoji28]kila mtu ananiambia hivo
PoleHabari za wakati huu wakuu. Mimi ni mjamzito wa wiki 24 nimekuja kwenu ili niweze kupata majibu ya maswali yangu.
Tatizo langu ni kwamba nimepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa mwanzoni nilikuwa najiforce ili nimpe haki mume wangu lakini baadae nikashindwa nikawa naumia nikaamua kumwambia mwenzangu akaelewa Ila cha kushangaza imekuwa Kama kawaida yaani hata mwenzangu anaonekana amezoea yaani tunalala tunaamka mpaka najiuliza ujauzito unaweza ukawa ndio sababu ya sote kukosa hamu ya tendo?
Au hii imekaaje wakuu.. naombeni kujua hili tatizo linasababishwa na nini na kama na je suluhisho lake ni lipi maana ndoa yetu ni changa na hii mimba ndo mtoto wetu wa kwanza..
Nitashukuru Mungu awabariki