Livinus Merchades Marliv
Member
- Feb 22, 2017
- 18
- 23
Hello waungwana.
Natamani sana kujiajiri hususani kufanya biashara ya kutengeneza juisi na vyakula...
Napenda mwaka 2018 nisajili biashara yangu na Kumiliki brand yangu binafsi ila bado sina mwanga kuhusu namna na ni gharama kiasi gani zitatumika mpaka kuwa 100% registered.
Naamini nitapata mwanga kupitia wewe
Ahsanteni