Msaada Kuhusu Kusajili Biashara Kiserikali

Joined
Feb 22, 2017
Posts
18
Reaction score
23
Hello waungwana.
Natamani sana kujiajiri hususani kufanya biashara ya kutengeneza juisi na vyakula...
Napenda mwaka 2018 nisajili biashara yangu na Kumiliki brand yangu binafsi ila bado sina mwanga kuhusu namna na ni gharama kiasi gani zitatumika mpaka kuwa 100% registered.
Naamini nitapata mwanga kupitia wewe
Ahsanteni
 
Karibu I-Business consult ltd kwa masuala yote yanayohusiana 1. Usajili wa biashara 2. Ushauri 3. Masuala ya Branding nk
Email: iconsultbuzness@gmail.com
Hotline:0659211222
Kuna uzi vilevile humu waweza kuutafuta umeelezea masuala mazima ya usajili nk
 
Hello waungwana.
Natamani sana kujiajiri hususani kufanya biashara ya kutengeneza juisi na vyakula...
Napenda mwaka 2018 nisajili biashara yangu na Kumiliki brand yangu binafsi ila bado sina mwanga kuhusu namna na ni gharama kiasi gani zitatumika mpaka kuwa 100% registered.
Naamini nitapata mwanga kupitia wewe
Ahsanteni
ingia hapa soma kila kitu kipo wazi... una weza jisajili hata kama upo koromije... www.brela.go.tz hachana na vishoka... jifunze kujitegemea na sio kutegemea...
 
Back
Top Bottom