Mkuu sababu za kupungua kwa damu ya hedhi zipo nyingi ikiwemo maradhi ya mwili, msongo wa mawazo, safari au kubadili mazingira kwa haraka, upungufu wa madini ya chuma mwilini, baadhi ya njia za uzazi wa mpango n.k. Wasiliana na mwenzio kuchunguza zaidi